KWANINI MTU ANAKOSA NGUVU ZA KIUME: Endapo mwanaume anashindwa kusimamisha uume (penis),uumekukosa nguvu ya kutosha kuingia ndani ya mwanamke au kushindwa kurudia tendo la ndoa baada ya kumaliza bao moja (kukojoa mara moja), huyu tuna mwita anaupungufu wa nguvu za kiume (importency). Kusima kwa uume kunatokana na mapigo ya moyo kupanda baada ya mtu kupata ashki ya kufanya tendo la ndoa(sex arousal), hivyo basi moyo husukuma damu nyingi kuelekea sehemu za uzazi ambayo damu hio huijaza mishipa midogomidogo ya damu (sponge-like bodies) inayotengeneza uume(penis). Sababu zinazosababisha tatizo la nguvu za kiume zinawekwa katika makundi mawili. *Matatizo ya kiafya ya mwili (organic causes). * Matatizo ya kisaikologia ( Psychological cause). MATATIZO YA KIAFYA NI KAMA: >Magonjwa ya kisukari, (diabetes mellitus). > Ugonjwa wa presha (blood pressure). > Matatizo ya tezi dume (kama mtu amewahifanyiwa operation) (prostatectomy surgery), > Upungufu au mvurugiko wa uzalishaji Homoni za uzazi (hormonal insufficiencies /hypogonadism). > Athari za matumizi ya dawa kwa muda mrefu (drug side effect). Matatizo haya kwa pamoja hupelekea mishipa ya damu kuziba na mwishowe misuli inakosa ngu za kuwezakusimama na hatimae uume husinyaa. TATIZO LA KIFIKWA (Psychological reasons), Mtu anaweza shindwa kusimamisha uume kutokana na matatizo ya kimawazo, kama vile migogoro katika mahusiano, matatizo ya kimaisha, tatizo hili hupelekea wanaume wengi kukojoa kwa haraka sana hali ambayo haileti raha.Lakini linatibika. DALILI ZA TATIZO HILI: >Kushindwa kusimamisha uume mara kwa mara, > Uume kulala(kusinyaa)katikati ya tendo la ndoa. > kushindwa kusimamisha ipasavyo. > Kukojoa haraka mara baada ya kuanza kujamiiana. Au kukaa muda mrefu sana bila kukuojoa. > Maumivu ya misuli ya uume wakati wa tendo la ndoa. SABABU ZA UGONJWA HUU: *kisukari (diabetes) *presha (blood pressure) *matatizo yafigo (kidney disorders) *matatizo ya kisaikologia(psychological cause). * upungufu wa homoni za uzazi (hormonal insufficiencies). * Matumizi ya dawa kwa muda mrefu (drug side effect). * Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kupita kiasi. * matatizo ya tezi dume. TIBA Ya TATIZO: Tatizo hili linahitaji vidonge aina ya OCEAN PLUS, GOLDEN YESTER CASULES na ALOE CAPSULES. Dawa hizi ziko imara sana katika kuamsha na kuzibua mishipa ya damu ilioziba, kubalansi homoni za uzazi na kutoa sumu zilizopatikana kutokana na kutumia dawa kwa muda mrefu. Kazi ya dawa hizi ni kutibu sio kuongeza nguvu za kiume tu bali zinatibu tatizo la mfumo mzima,hivyo basi unapomaliza dose yako hutahitaji kurudia tena kutumia. Hizi ni dawa zinazotokana na mimea pamoja na viumbe hai ,zimewekwa katika mfumo lahisi na salama wa Vidonge. Havina madhara kwa matumizi ya binadamu. Ndugu yangu achana sasa na matumizi ya vidonge vya kuongezea nguvu za kiume (viagra), maana baadae hutaweza kabisa kusimamisha. Kwa wale ambao bado wana sumbuliwa na kisukari au pressure itatubidi tutibu kwanza matatizo hayo kisha tunamalizia hili la pili. Wasiliana na mimi kwa ushauri au tiba kwa kupiga simu namb
0765203999
TIBA MBADALA KWA MAGONJWA NA USHAURI
Reviewed by Bassa
on
7:08 PM
Rating: 5
No comments: