Header Ads

Madhara ya kunyonya UUME kwa Wanawake

Kitendo hiki ni pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi au mwanaume kuingiza ulimi ukeni pamoja na kunyonya via vya mwanamke pindi wapenzi hawa wawapo faragha.


Kumekua na ongezeko la kitendo hiki kwa vijana na imekua kama ni sehemu ya mahaba kwa wapenzi hata inafikia hatua mwanaume ANAONA MKE/MPENZI WAKE HAJUI MAHABA KAMA HAJAMNYONYA UUME AU MWANAMKE KUONA HIVO ASIPONYONYWA YEYE.VILIVILE KUNA WANAWAKE WANAONA KUFANYA MAPENZI BILA KUNYONYA NI USHAMBA
Vyumbani mambo mengi sana hutokea katika suala zima la mapenzi, nitaenda kusema kwa ufupi madhara ya kunyonya

KISONONO CHA KOO.
Kama unafanya hiki kitendo halafu ukute mwanamke/mwanaume ana magonjwa ya zinaa kama kisonono inakua rahisi kwa mnyonyaji kuambukizwa.kumbukeni kama mwanamke ana kisonono sio rahisi kumgundua kama ilivyo kwa mwanaume.TUWENI MAKINI.

SARATANI YA KOO.
Hii hasa huwapata wanawake ambao hupenda kunyonya uume wanaume wengi na hivo kuwaweka katika hatari ya kuambukiwa vimelea wanaosababisha saratani hiyo mfano HPV

KUBADILISHANA BACTERIA.
Kama wote tunavofaham ya kwamba kwenye miili yetu kuna bacteria Rafiki(normal flora);sasa hao bacteria wakiingia sehem ambayo sio yake huleta madhara kwani wameingia eneo ambalo hawajazoea,wataingia sehemu mpya kwa kuwanyonya kutoka kwa mwanamke au mwanaume.Hii inaeza isilete madhara mapema lakini uendeleaji wa kunyonya nyonya wanaume au wanawake wengi mara kwa mara hupelekea kupata madhara mengi na mengine ni magumu kutibu.

Kupata maambukizi ya HIV

Kupata madonda mdomoni

Kujiweka katika hatari ya kupata saratani za mdomo, ulimi nk

SASA WADAU WANGU MPAKA HAPO NIMEFIKIA MWISHO WA MAKALA FUPI.TUJIHADHARI NA VITENDO HATARISHI AMBAVYO TUMEIGA KUTOKA KWA WAZUNGU.SOTE TUNAFAHAMU KAZI YA MDOMO NA ULIMI KWA HIYO TUSIVIFANYIE KAZI AMBAYO SIO YAKE
ACHENI KUSHABIKIA PAGE,MAKUNDI YA WATSAP,VIDEO AMBAZO ZINAHAMASISHA UFANYAJI WA HAYA MAMBO..ZIPUUENI KWAN HAO WANAOHAMASISHA WENGI WAO NI WAFANYABIASHARA WA NGONO NA HAWAWATAKII MEMA WATU WEMA
TAG VIJANA WENGI WA KIKE NA KIUME ILI WAACHE HII TABIA

No comments:

Powered by Blogger.