Header Ads

HATARI NA MADHARA 20 YA KUPIGA PUNYETO KWA WANAUME

Tokeo la picha la MADHARA YA PUNYETO

Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi.
Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke.
Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake. Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii.
Kupiga punyeto au kujichua ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua.
Tuangalie sasa madhara 20 yafuatayo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume:
1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.
2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili na kupelekea matatizo ya macho kutokuona vizuri
3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)
4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara
6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia
7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua
8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo. Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.
9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho
10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.
11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito. Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.
12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako. Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine. Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.
13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida
14. Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu kama vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi
15. Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.
16. Kujichua siyo suluhisho la mwisho la hitaji lako, yaani hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua
17. Punyeto haina faida yoyote kwenye maisha yako ya kimapenzi, huihitaji kwa ajili ya chochote
18. Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini. Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.
19. Utapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi kama utaendelea kujichua
_. Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.
20. Punyeto inamaliza nguvu za kiume, kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume. Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.
Je ufanye nini ili kuacha punyeto au usishiriki mchezo huu mchafu?
Kama muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:
•Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.
•Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi.
•Epuka vyakula vyenye mafuta mengi
•Usipende kukaa muda mrefu peke yako au kujitengaa na watu pia usikae muda mrefu kitandani hasa asubuhi wakati wa kuamka
•Usikae muda mrefu maeneo kama ya bafuni au chooni
•Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote
•Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, kama upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondowe haraka iwezekanavyo.
•Kama tayari umeshaoa basi ni dhambi kubwa sana kuendelea kupiga punyeto, utaishiwa nguvu na unaweza kukosa kumpa ujauzito mkeo siku za usoni.
Je? umeathirika na umepata madhara yaliyotokana na punyeto? Na unahitaji kuondokana na hiyo hali ? Habari njema ni kuwa hilo ni jambo linalotibika na utarudi kwenye hali yako ya kawaida, na kurudisha nguvu zako zipo dawa maalumu za asili kwa ajili hiyo kama utazihitaji niachie ujumbe
WhatsApp 0765203999
Au/sms
Andika nahitaji Raahatu
🌹RAAHATU AL JIMAAI
Ni mchanganyiko wa miti shamba inayotibu
(1)Nguvu za kiume
(2)Kuimarisha mishipa ya uume uliosinyaa
(3)Kuleta hamu ya tendo la ndoa
(4)Kuondoa uchovu wa mwili
(5)Huleta hamasa ya kurudia tendo la ndoa
(6)Kutibu jamii zote za ngiri na matatizo ya tumbo
Bei ni Elfu 25,000 tu
Rudisha heshima ya ndoa kwa kutumia
Raahatu Al Jimaai
Wasiliana nasi
0765203999

No comments:

Powered by Blogger.