Coronavirus: Je juhudi za kutafuta chanjo ya virusi vya corona zimefika wapi?
Tunaweza kuorodhesha maambukizi ya virusi vipya vya corona kuwa janga au la , lakini ukweli ni kwamba ni suala nyeti.
Katika chini ya miezi miwili virusi hivyo vimesambaa hadi mabara kadhaa. Janga lina maana ya kwamba virusi hivyo vinasambaa kwa kasi ya juu katika zaidi ya mabara matatu.
Huenda tayari tumefikia awamu hiyo , lakini sio sawa na vifo, kwa kuwa jina hilo halimaanishi hatari ya virusi hivyo bali jinsi vinavyosambaa kutoka eneo moja hadi jingine. Kile kilichopo ni janga la hofu .
- Marufuku kupeana mikono, busu katika nchi hizi
- Unawezaje kuzungumza na mtoto wako kuhusu coronavirus?
- Uwezekano wa kufa kutokana coranavirus ni mkubwa kiasi gani?
Kwa mara ya kwanza katika historia tunakabiliwa na janga hatari: Katika vyombo vyote vya habari kila siku katika kila eneo duniani vinaongea kuhusu virusi vya corona.
Imeripotiwa nchini Brazil kwamba virusi hivyo vimezaana mara tatu zaidi.
Ni muhimu kuripoti kinachotokea duniani lakini pia wasomaji wanahitaji habari njema, kama hizi:-
1.Tunafahamu ni ugonjwa 3. Nchini China hali inaimarika
Udhibiti mkali na mikakati ya kuwatenga walioambukizwa imeanza kuzaa matunda.
Kwa wiki kadhaa sasa idadi ya watu wanaopatikana na virusi hivyo imepungua kila siku. Katika mataifa mengine , visa vya maambukizi vinafuatiliwa kwa kina .
Mikakati iliowekwa ni ya nguvu na visa vinaweza kudhibitiwa kwa urahisi kwa mfano nchini Korea kusini na Singapore.
4. Asilimia 80 ya visa vyote vilivyobainika havijaonyesha makali
Ugonjwa huo hautoi ishara ama hauna makali kati ya visa asilimia 81.
Katika asilimia 14 iliosalia vinaweza kusababisha ugonjwa hatari wa mapafu na asilimia tano vikiwa hatari na hata kusababisha kifo
No comments: