Mwarobaini: Tiba ya Magonjwa Mengi.
Mwarobaini ni mti maarufu sana na unajulikana karibu kila mahali , licha ya kujulikana kila mahali mti huu una kivuli mwanana. Lakini jina hili la mti huo limetokana na uwezo wake wa kutibu zaidi ya magonjwa arobaini. Ingawaje mti huu si majani wala mizizi ni mchungu mno kwa mtumiaji.
Lakini inasadikia kuwa mti huu asili yake imetokea nchini ondoa, na pia ina uwezo mkubwa wa kustawi sehemu zenye ukame zaidi. Kwa hapa Tanzania ukienda maeneo ya Dodoma utakubaliana na ukweli huu.
Labda tuangazie macho japo kwa uchache kwa kuona maajabu ya mti huu kama ifuatavyo.
1. Mwarobaini ni dawa ya kuua minyoo yote tumboni,
2. Hutubu homa, hasa zile homa za usiku
3. Mwarobaini hutibu kikohozi.
4. Mwili kuwaka moto.
5.kuharisha pamoja na tatizo la vidonda vya tumbo. Chukua majani ya mmea huu kisha yatafune bila kujali uchungu yaliyo nayo.
6.Mwarobaini hutubu matatizo ya macho.
Ili kutibu matatizo ya macho Unachotakiwa kufanya ni kufuata maelekezo kama amabayo nitaeleza hapo chini.
7.magonjwa mbalimbali ya ngozi hutibika pia kwa kutumia mti huu wa mwarobaini.
Kwa kutibu magonjwa hayo na magonjwa mengineyo unachotakiwa kufanya:
Chemsha majani 40 ya mti wa mwarobaini kwa muda wa dakika kumi tano, baadae acha mchanganyiko huo upoe, kisha chuja kwa ajili ya matumizi. Unaweza ukanywa mchanganyiko huu asubuhi na jioni. Kwa kiwango cha kikombe kimoja cha chai. Kikombe kimoja asubuhi na kingine jio
No comments: