Header Ads

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME :SIFA ZA MWANAUME AMBAE HAWEZI KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI NA AMBAE SIO RIJARI.

 

Leo katika zama hizi za sayansi na teknolojcia tatizo la kupungua nguvu za kiume limekuwa kubwa sana, siyo Tanzania tu, bali duniani kote. Jambo muhimu analopaswa mwanaume yeyote kufahamu ni kwamba, kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa, ni dalili ya ugonjwa. Hii ina maana kuna dosari au udhaifu wa kiutendaji ndani ya mwili wake.

Kuna sababu zaidi ya 200 zinazosababisha mwanaume apungue nguvu za kiume. Mtu aweza kujiuliza kwa nini kuwe na sababu nyingi namna hiyo?

Nguvu za kiume ni nini?

Nguvu za kiume ni jina la jumla lenye vipengele vingi ndani yake ikiwa ni pamoja na hamu ya mapenzi; kusimama kwa uume barabara; kuchelewa kufika kileleni kiasi cha kufurahia tendo la ndoa; uwezo wa kurudia tendo la ndoa; pumzi, wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda tendo la lenyewe.

Ni viungo gani vinavyohusika na nguvu za kiume?

Nguvu za kiume ni tukio pana sana lenye kuhusisha viungo na vitu vingi ndani ya mwili. Kuna zaidi ya viungo na vitu 50ndani ya mwili wa mwanaume vinavyohusika na nguvu za kiume ambapo viungo hivi pia hufanya kazi zingine za mwili. Baadhi ya viungo hivyo ni ubongo, moyo, mishipa ya neva mishipa ya ateri, mirija iliyo ndani ya uume iitwayo corpora cavernosa.

Viungo vingine ni neva maalumu za parasympathetic, tezidume (prostate gland), ini, figo, homoni ya testestorone, kemikali za acetylcholine, serotonin, na dopamine, uti wa mgongo, eneo la chini ya mgongo (kiuno), eneo la nyonga.

Viungo vingine ni misuli maalumu iitwayo pelvic floor, tezi pituitari (pituitary gland), utando maalumu wa uumeni uitwao tunica albuginea, misuli iitwayopubococcygeus [PC muscles], kemikali ya nitric oxide, kemikali ya prolactin n.k.

Nini maana ya kupungua nguvu za kiume?

Unapopungua nguvu za kiume ina maana ndani ya mwili wako kuna baadhi ya vitu katika vitu nilivyovitaja hapo juu havifanyi kazi vizuri jinsi ipasavyo na inavyotakiwa. Yawezekana ni figo ndilo halifanyi kazi vizuri, au ini, au tezi dume, au neva ya parasympathetic, au moyo una tatizo au mishipa ya ateri, au misuli ya pelvic au homoni fulani iko juu sana au iko chini sana (hormonal imbalance), orodha ni ndefu sana.

Kitendo cha baadhi ya viungo hivyo kutofanya kazi vizuri basi hapo hutokea upungufu katika nguvu za kiume. Upungufu huo unaweza kuwa ni:

1. Kukosa hamu ya mapenzi; au

2. Uume kusimama kwa uregevu; au

3. Kuwahi kufika kileleni; au

4. Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa); au

5. Kushindwa kurudia tendo la ndoa; au

6. Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo; au

7. Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji; au

8. Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;

Ndugu msomaji, ili uelewe vizuri zaidi labda niseme kwamba, nguvu za kiume ni kiwanda; na ni zaidi ya kiwanda. Ndani ya kiwanda kuna umeme, maji, madawa, watu (wafanyakazi wa kila taaluma na fani), mashine, mitambo n.k.

Ikitokea kitu kimojawapo kukosekana, mathalani umeme, au wafanyakazi wakagoma, au kukakosekana madawa muhimu au maji na kadhaa wakadha, basi bidhaa inayotarajiwa kupatikana sokoni, kwa hakika haitapatikana.

Vivyo hivyo nguvu za kiume, mathalani, ikitokea tezidume kutofanya kazi vyema, basi hapo mwanaume hatoona nguvu za kiume, zitapungua au zitaisha kabisa!

Kwa hiyo upungufu wa nguvu za kiume ni upungufu au kasoro za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili wa mwanaume. Mwanaume yoyote anapaswa kutambua jambo hili.

Lakini nini kinachopelekea viungo hivyo vishindwe kufanya kazi vizuri?

Kuna maradhi kadhaa, vyakula tunavyokula, tabia na mtindo wa maisha vinavyoweza kupelekea viungo hivyo kutofanya kazi vizuri. Baaadhi ya maradhi hayo na tabia hizo ni kujichua/punyeto (masturbation); kisukari; presha ya kupanda; presha ya kushuka; uvutaji wa sigara; unywaji wa pombe; madawa ya kuleva; kufanya kazi kupita kiwango na kukosa muda wa kupumuzika; matatizo ya kukosa usingizi na kuchelewa kulala usiku.

Sababu zingine za kupungua nguvu za kiume ni kutokunywa maji ya kutosha, tatizo la kufunga choo hasa pale unapotumia nguvu nyingi kusukuma choo; kutofanya mazoezi; ukosefu wa kumbukumbu; uzito mkubwa/unene mkubwa; kitambi; kuvimba kwa tezidume (Benign Prostate Hyperplasia).

Sababu zingine ni saratani ya tezi dume (Prostate cancer), matibabu ya mionzi ya tezidume na upasuaji, ugonjwa unaoathiri vitendo na shughuli za mwili kama vile mwondoko na balansi (multiple sclerosis), ugonjwa ambao hudhuru mawasiliano ya ubongo na miondoko ikiwa ni pamoja na kutembea, kuongea na kuandika (parkinson’s disease), vyakula vya mafuta, vyakula vilivyowekewa homoni bandia za kike n.k.

Sababu zingine ni maumivu ya mgongo/kiuno; baadhi ya madawa ya kemikali (madawa ya hospitali); kiharusi (stroke); upungufu katika utendaji wa kazi za gonadi (hypogonadism); uzalishaji mwingi wa homoni ya thyroid.

Sababu zingine ni kutozalishwa kwa homoni ya thyroid ya kutosha; ugonjwa unaoathiri uzalishaji wa homoni ya cortisol (cushing’s syndrome); ugonjwa wa kupinda uume (peyronie’s disease); kukakamaa kwa mishipa ya damu (atherosclerosis); orodha ni ndefu sana, ni zaidi ya 200.

Hivyo mwanaume anapopungua nguvu za kiume, ina maana kuna ugonjwa ndani ya mwili wake, au unaweza kuwa huo ugonjwa umeshadhihirika (umeshatokeza) kwa nje, au huo uko ndani ya mwili unamla na kummaliza kimyakimya kama yalivyo baadhi ya magonjwa ambapo baadaye hulipuka. Hii ndiyo maana kitaalamu tunasema kupungua nguvu za kiume siyo ugonjwa ni dalili ya ugonjwa. Unapopungua nguvu za kiume hiyo ni KENGELE YA TAHADHARI kwamba ndani ya mwili wako kuna kitu hakifanyi kazi vyema. Hivyo, unaambiwa kuchukua TAHADHARI kabla ya HATARI!

KOSA KUBWA WANALOFANYA WANAUME WENGI!

Wanaume wengi wanapopungukiwa nguvu za kiume hukimbilia kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume, na siyo kutibu. Hili ni KOSA KUBWA sana!

Ni kosa kubwa kukurupuka kubugia dawa za nguvu za kiume bila kujua chanzo cha tatizo na bila kujua hiyo dawa inakwenda kutibu tatizo gani. Kwa njia hiyo, utamaliza miaka hata zaidi ya 100 na hata miaka elfu moja na hautapona!

Upungufu wa nguvu za kiume lazima utibiwe kuanzia chanzo cha tatizo; kwa maana ya kwamba mzizi wa tatizo sharti ung'olewe kwanza! Mathalani, kama tatizo ni la homoni ijulikane kwanza; kama ni tatizo la tezi ijulikane kwanza, kisha matibabu sahihi yaelekezwe katika maeneo hayo. Hayo ndiyo matibabu, na si vinginevyo. Angalia mwenyewe, upungufu wa nguvu za kiume unaweza kutokana na kisukari kwa mwanume huyu, au shinikizo la damu la kupanda (HIGH BLOOD PRESSURE) kwa mwanaume yule; au shida ya tezidume kwa mwanaume mwingine au shida ya kihomoni (HORMONAL IMBALANCE) kwa wanawake wengine, basi vipi iingie akilini kwamba wote hao watatibiwa na dawa aina moja? Watu wengi wengi wameelewa kimakosa sana ndiyo maana hata matibabu yamekuwa ni tatizo kubwa sana.

Acha kulalamika wala kumlalamikia mwenza wako sasa piga simu tuzungumze.

SIFA ZA MWANAUME AMBAE HAWEZI KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI NA AMBAE SIO RIJARI

UNAIBIWA MPENDWA WETU,CHUKUA HATUA SASA.

1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake

2. Uume kusimama ukiwa legelege

3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa

4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege

5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.

6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.

7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity llluna sinyaa )

9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.

10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.

VIASHIRIA VYA MWANAUME TIMAMU RIJARI

Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;

i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.

ii. Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )

iii. Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.

iv. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile

v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile

vi. Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.

_SULUHISHO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME HILI HAPA_

⚫ ⚫ ⚫

JE UNA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME??

⚫ MAISHA , MITINDO YETU YA KIMAISHA NA VYAKULA TUNAVYOKULA SIKU HIZI VINACHANGIA SANA KUWA NA UDHAIFU KATIKA MAENEO MBALIMBALI KIMWILI IKIWEMO UDHAIFU WAKATI WA TENDO LA NDOA.

1》 Unaifahamu MULTIMACA, iliyotengenezwa kwa zao liitwalo Maca??

⚫ Kikawaida, umri unavoongezeka na kutokana mitindo mibovu ya maisha, na vyakula vyenye Kemikali tunavyokula, Glands za Endocrine huwa zinapunguza ufanyaji kazi wake wa kutozalisha hormones kwa kasi. Ambapo baadae hupelekea mwili kuchoka na kukosa nguvu ya asili na stamina.

Hii huleta madhara mengi kama:

1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa.

2. Kupata Stress.

3. Kuchoka haraka wakati wa tendo.

Na mengine mengi.

⚫ UKITUMIA ZAO LA MACA

Ambalo ni mmea uliogundulika tangia miaka 2000 iliyopita uko PERU, na mizizi yake ilikua ikitumika kama Chakula cha wanajeshi wa INCAN kabla ya kwenda Vitani, ili kuwapa nguvu na stamina. Maca imekua maarufu kwa jina la "Sex Herbs Of The Incan"

⚫ Forever Living Products, iliichukua Peruvian Maca na kuchanganya na Mimea tofauti ya asili ili kutengeneza Virutubisho vya " Forever MultiMaca"

⚫ Ambayo ukitumia itakusaidia:

1. Kuongeza Libido. (Hamu ya Tendo la Ndoa)

2. Kubalance Hormones Kwenye Mwili,

3. Kurahisisha changamoto za Menopause kwa wanawake.

4. Kubalance kiwango cha sukari mwilini.

5. Kusupport brain relaxation

6. Kuleta Stamina na Nguvu za Kiume.

7. Kurutubisha mbegu (sperms) na mayai(kwa mwanamke)

-Hivyo Ukianza kutumia Forever MultiMaca, itakusaidia kuondokana na changamoto hizo, na kukupa faida nyinginezo nyingi kiafya.

-Bidhaa zetu sio dawa,

Hizi ni lishe/virutubisho vinazosupport ufanyaji kazi bora wa organ za mwili wako.

-Zimethibitishwa na kupewa mihuri ya kimataifa kwa uasilia wake na Ubora wake.

- Zinatumika kwa watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea na si kwa watoto, pia Inatumika kwa wanaume na wanawake kwa ujumla.

2.FOREVER ARGI+:

Argi+ ni bidhaa ya Forever Living Products ambayo husaidia kwenye afya ya kila mfumo kwenye mwili wa binadamu. Ina L-Arginine ambayo kwenye mwili husaidia kutengeneza gesi ya Nitric Oxide ambayo husaidia kutanua mishapa ya damu na kuruhusu damu kusafiri vizuri kwenda kwenye sehemu mbali mbali za mwili. Bidhaa hii imethibitishwa na mwanasayansi aliyeshinda Nobel Prize kwenye utafiti juu ya Nitric Oxide kusaidia kwenye kuuweka msukumo wa damu kuwa vizuri.

Kwanini utumie Argi+

1. Argi+ itasaidia kwenye kuondoa sumu mwilini kutokana na matunda ya berries na komamanga.

2. Itatanua mishipa ya damu na kurekebisha msukumo wa damu hivyo kusaidia afya ya moyo na magonjwa ya moyo pamoja na pressure.

3. Itasaidia kurekebisha matatizo ya nguvu za kiume maana damu kutembea vizuri ndio kila kitu kwenye hilo eneo.

4. Itasaidia kwenye kujenga mifupa na misuli hasa hasa kwa wale wanaofanya mazoezi sana.

5. Husaidia kwenye kupunguza kiwango cha Chelesterol kwenye damu.

6. Huusaidia mwili kutengeneza homoni zinazopunguza kuzeeka kwa haraka kupita umri wako.

7. Husaidia kila mfumo wa mwili na hivyo kukupa afya njema na kuepuka magonjwa yasiyoambukiza.

MATUMIZI: Kijiko kimoja kwenye 250ml za kinywaji chako cha Aloe Vera, Maji, Juice, Mtindi etc. Mara moja kwa siku.

VIRUTUBISHO MUHIMU NA MAALUM KWA AJILI YA WANAWAKE NA WANAUME.

KWA MAELEZO ZAIDI NA KUAGIZA, WASILIANA NASI KWA +255768603979..

3.VITOLIZE FOR WOMEN:

HUSAIDIA;

1. Kubalance Hormones.

2. Kupunguza maumivu wakati wa Hedhi.

3. Kupunguza athari za kukoma Hedhi.

4. Kulinda mfumo wa mkojo dhidi ya maambukizi mbali mbali.

5. Kupunguza msongo wa mawazo.

4.VITOLIZE FOR MEN:

HUSAIDIA;

1. Kuboresha mfumo wa uzazi.

2. Kuongeza idadi na ubora wa mbegu.

3. Kuboresha afya ya Tezi.

4. Kupunguza msongo wa mawazo.

VITOLIZE MEN & WOMEN sio dawa bali ni lishe. Kwa matokeo mazuri na endelevu unashauriwa kula vizuri, kutovuta sigara, kunywa pombe kwa kiasi, kufanya mazoezi na kutafuta muda wa kupumzika.

Kwa Ushauri au Kupata Huduma zetu Kama Uko Dar Es Salaam,Dodoma,Arusha,Mwanza Na Mbeya,Rukwa,Katavi,Singina,Ruvuma,Njombe,Simiyu,Mara...na Popote Ulipo(Tanzania Na Zaidi Ya Nchi 160 Duniani).

Kwa maelezo zaidi jinsi unavyoweza kupata bidhaa zinazo ondoa tatizo hilo wasiliana nas 0765203999

No comments:

Powered by Blogger.