Vyakula Vinavyoweza Kutunza Urembo Wako
ASALI
Asali husaidia kutunza unyevunyevu katika ngozi, na pia ina kiwango kikubwa cha sukrai na asidi amabyo uweza kuzuia vijidudu ambavy vianweza kuathiri ngozi yako.Hutengenezwa na nyuki waliokusanya viambata vingi vya asili kutoka katika mimea mbalimbali.
MAYAI.
Mayai pia ni mazuri kwa afya ya ngozi,kiini chake huwa na vitamini A na B,Ilhali ute wake mweupe una protini nyingi sana ambazo huwa ni nzuri kwa afya ya ngozi.husaidia ngozi kuwa nyororona yenye kungaa zaidi.pia inasaidia ngozi kujikinga na mionzi ya jua.
MATUNDA.
Matunda hususani machungwa na malimao,matunda haya utengeneza collagen kwa ngozi ya mwili wa binadamu ambayo husaidia katika utengenezaji wa ngozi.
Vitamins hivi husaidia sana katika kuondoa mikunjo na vivimbe katika ngozi za mwanadamu.
MBOGA ZA MAJANI.
Mboga za majaini husaidia sana sio kwa ngozi tu bali kwa mwili wote kwa ujumla kwa sababu vinakuwa vimesheheni virutubisho vyote vinavyohitajika mwilini.Mboga za majani zina virutubisho vyenye kusaidia kuondoa seli zilizokufa na kuzalisha seli mpya katika ngozi.
VYAKULA VYA BAHARINI.
No comments: