UJUE UGONJWA WA BAWASILI, MADHARA YAKE

A.NINI KINASABABISHA BAWASIR ?
Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
-Tatizo sugu la kuharisha
-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL SEX)
-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.
B.DALILI ZA BAWASIR
-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia
-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
C.ATHARI ZA BAWASIR
-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume. kwa msaada zaidi wasiliana nasi 0765203999
No comments: