Header Ads

PUNYETO(MASTURBATION)


Hiki ni kitendo ambacho mwanamke au mwanaume hujisisimua kimahaba kwenye sehemu zake za siri hadi kufikia MSHINDO(ORGASM).
Kuna punyeto za aina kuu mbili; kuna ile ambayo mtu hujifanyia mwenyewe na kuna ile ambayo mtu hufanyiwa na mpenzi, mke, mume wake.
Kumbukeni ya kwamba punyeto hufanywa sana tena sana sema watu hawasemi inakaribia asilimia 95 ya vijana kuanzia miaka 13 hadi 25 hasa hasa wa kiume kwa ufanyaji wa punyeto.
Kujisisimua huko mara nyingi hufanywa kwa kutumia MIKONO,VIDOLE,NDIZI,KAROTI,BIRINGANYA,SEX TOYS nk
Ikumbukwe kwamba upigaji punyeto sio jambo baya kiivo kama inavyochukuliwa PUNYETO ITACHUKULIWA KUA JAMBO BAYA KAMA IKIWA INAKUINGILIA KATIKA MAJUKUMU YAKO.mfano ukiwa kwenye gari au ofisini au kanisani au msikitini unawaza au kutaka kufanya punyeto.
Kufanya punyeto kunachochewa na mambo mbalimbali kama kuona kina dada wenye mvuto na wamevaa vibaya, uangaliaji wa mikanda au picha za ngono kama sehem ya mahaba na stress za mahusiano hasa wakati mtu anataka akutane na mwenzie lakini mwenzie hayupo tayari.

FAIDA ZA PUNYETO
Kuondoa msongo wa mahaba
Kuondoa msongo wa mawazo
Huboresha usingizi wako
Husaidia kuongeza kujiamin kwa wanaume
Huondoa au hupunguza maumivu ya wakati wa hedhi
HASARA ZA PUNYETO
Hasara hizi za punyeto sanasana huwapata wale WANAOFANYA PUNYETO ZAIDI YA MARA 1 KWA SIKU AU ZAIDI YA MARA 7 KWA WIKI.
Uraibu wa punyeto Kwamba ukishaanza punyeto si rahisi kuacha ikishakukolea
Matatizo ya kusimamisha
Kulegea misuli ya uume
Kufika mshindo kabla ya wakati
Kupoteza kumbukumbu
Kupoteza mwamko au hamasa ya kua na mwenza
Kuzeeka kabla ya muda
Nywele kupungua mwilini 
Ndugu zanguni nimejaribu kueleza kwa kifupi sana .sasa hii hali mara nyingi madhara yake yanatibiwa na mtu mwenyewe kubadili mawazo yake kisaikilojia.mara nyingi haihitahi kuanza kutumia madawa ya mmasai au mengine.kwa walioathirika nawashauri wapitie makala yangu ya mapenzi sahihi ,wawaweke wazi wenza wao na cha mwisho ni kula vizur na kuepuka mambo ambayo yanawafanya kufanya punyeto kupitiliza.
Ndani ya nyumba ni kusaidiana na.sio kutishana na kuogopana.mapenzi ni ya watu wawili

No comments:

Powered by Blogger.