Header Ads

Zijue Faida zaidi za Kula Tunda aina ya TANGO

Watu wengi wamekuwa wakila matunda bila kujua faida wanazozipata katika matunda wanayoyala, leo tutaanza na faida ya Tunda maarufu la TANGO:



1. Tango, Huzuia Kisukari, pia huboresha mfumo wa Damu na kuondoa Kolesteroli Mwilini

2. Ni chanzo Kikubwa cha Vitamini B.

3. Husaidia Kutunza Ngozi.

4. Kuongeza Maji Mwilini.

5. Kukata Hangover.

6. Kuzuia Saratani mwilini.

7. Kusaidia Kupunguza Uzito.

8. Kuondoa Maumivu NA KUBORESHA viungo vya Mwili.

9. Kuimarisha Mmeng'enyo wa Chakula Mwilini.

10. Kuondoa Harufu mbaya ya Kinywa.

No comments:

Powered by Blogger.