- Watu wengi wakipata dalili za mafua wanakimbilia vitamin c ikiwa ni kupitia juice, matunda au hata vidonge. Ni kirutubisho ambacho kwa mda mrefu watu wamedai husaidia kuponya mafua. Je ni kweli? kifahamu kirutubisho hichi Vitamin…matangotango ni nini? Matangotango ni ugonjwa wa ngozi ambao husababishwa na fangasi. Aina hii ya fangasi hupatikana kiasilia kwenye ngozi. Ikitokea fangasi hawa wakikua kupitiliza kiasi mtu hupata mabaka mabaka meusi au meupe kuliko rangi…Our about fangasi ni nini? Fangasi ni ugonjwa ambao huambukiza na huleta madhara kwenye ngozi ya vidole vya miguuni. Ugonjwa huu hudhuru wana riadha kwa kiasi kikubwa na kupewa jina la ‘Athlete’s foot’ kwa kiingereza.…jasho ni nini? Jasho ni majimaji ambayo hutoka mwilini kupitia matundu madogo yaliyopo katika ngozi. Mwili hutoa jasho ili kupunguza joto ambalo hupanda katokana na hali ya hewa, homa ama vinywaji vya moto. Kwanini jasho…Utegemezi wa dawa ni nini? Utegemezi wa madawa ni hali ya kiasi kinachohitajika cha dawa kwa ajili ya kutibu tatizo kutokusaidia na hivyo mtumiaji huhitajika kuongeza kiwango cha dawa. Pia hutokea pale ambapo mtu hutumia…Mara nyingi tumekutana na majina kama “cream” ,”lotion” na “ointment” katika vipodozi au dawa za kupaka tunazonunua kwa matumizi mbalimbali. Je nini maana halisi ya maneno haya? Majina haya hutokana na kiasi cha maji na…Mseto ndio dawa mama kwa sasa katika kutibu malaria. Hivyo basi ni muhimu kujua mambo kadhaa juu ya dawa hii. MATUMIZI SAHIHI. 1.Dozi za dawa hii hutofautiana kwa mtoto na mtoto kulingana na umri na…Pedi huvaliwa kama nepi za watoto (pampers/diaper) mwanamke akiwa katika hedhi zake ili kunyonya uchafu utokao kipindi hicho. Huwekwa kwenye nguo ya ndani ya mwanamke na hukutana na sehemu ya siri ya mwanamke moja kwa… kumekuwa na utaratibu ambao umekuwa wa kawaida sana katika jamii yetu ya kitanzania kuhusiana na matumizi ya kiholela ya dawa za kutuliza maumivu yani NSAIDs. ” Dawa hizi zimekuwa zikitumiwa kwa ajili ya kutuliza…Balungi ni tunda ambalo wengi wanalipenda kutokana na ladha yake ya kipekee. Pamoja na hayo ni tunda ambalo lina kiasi kikubwa cha vitamin A na vitamin C , vitamin zinazohitajika katika kuimarisha kinga ya mwili,…Ni muhimu kwa mama wote wanaonyonyesha kuwaarifu madaktari wa watoto wao kuhusu kila dawa wanazotumia, ikiwemo dawa za asili (mitishamba). Sio kila dawa itakayotumika itapatikana kwa kiwango hatarishi katika maziwa ya mama na kusababisha madhara…0765203999
Elimu ya dawa na vipodozi
Reviewed by
Bassa
on
6:07 PM
Rating:
5
No comments: