JINSI YA KUISHI NA KUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATA SARATANI
KUISHI NA KUPUNGUZA UWEZEKANO WA KUPATA SARATANI INAWEZEKANA.ZINGATIA YAFUATAYO.
1) JIPENDE NA JIJALI.
2) JENGA UTARATIBU WA KUPIMA AFYA YAKO.
3) EPUKA KUTUMIA VITU VYENYE KEMIKALI MFANO VYAKULA VYA VIWANDANI,MADAWA YA KILIMO NA UFUGAJI.
4) ACHA UVUTAJI WA SIGARAðŸš
5) ACHA NGONO ZEMBE AU KUA MUAMINIFU NA UTUMIE KINGA
6) KWA WANAWAKE CHUNGUZENI SHINGO ZENU ZA VIZAZI.
7)WANAWAKE KUANZIA MIAKA 14 PATENI CHANJO DHIDI YA KISABABISHI CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI.
8)KWA WANAWAKE ZAA MTOTO MAPEMA,NYONYESHA KWA MUDA UNAOTAKIWA NA PUNGUZA MATUMIZI YA VICHOCHEO VYA KUONGEZA MAKALIO AU MATITI.
9) KWA WATU WENYE UALBINO WAVAE KOFIA PANA,MASHATI YA MIKONO MIREFU NA MATUMIZI YA MAFUTA YA KUPUNGUZA UKALI WA JUA.
WENYE MASWALI ULIZENI
No comments: