Header Ads

KILA UNACHOKULA NDICHO KINACHOKUUA.



Ndugu zanguni hamjambo?? Leo napenda niwashirikishe kitu kimoja kizuri sana kiafya na kitu hicho ni kuhusu CHUMVI:
.
Chumvi ni nzuri sana kiafya na mwili unahitaji chumvi lakini kwa kuasi kinachotakiwa,ikizidi tayari inaleta madhara makubwa sana...
.
Asilimia 95 ya watu wenye PRESHA Tanzania wamefika hapo kwa sababu ya chumvi ilozidi. Ulaji Wa chumvi gramu 1 tu kila siku kwa wiki moja hupandisha PRESHA kwa 8-10mmhg,mfano kama PRESHA yako ilikua 120/80mmhg baada ya wiki itakua 130/90mmhg.. Hili ni ongezeko kubwa sana..PRESHA ina madhara makubwa sana kwa mwili kama kuua moyo,mafigo,macho,nguvu za kiume,kupata kiharusi,mshtuko Wa moyo ,kufa nk.
.
Ndugu zanguni sote tunapenda kula vizuri sana lakini tuwe na mipaka na kuthamini afya zetu kwa kina kwani kwa sasa utaendelea kuenjoi maisha huku PRESHA ikipanda kidogo kidogo na matokeo yake utayaona baada ya miaka 10 hadi 20 huko baadae na ndo utaanza kujuta wakati huo.. Na kipindi hiko itakua TOO LATE(UMECHELEWA).
.
NI NINI KIFANYIKE?
1)NDUGU ZANGU WOTE MSIKUBALI KUTUMIA CHUMVI YA MEZANI WALA ILE YA PEMBEMI YA CHAKULA. CHUMVI IWE IMEPIKIWA KWENYE CHAKULA NA YA WASTANI.NI MUHIMU SANA KUZINGATIA HILI.. HATA UKIFANYA HIVI TATIZO LA PRESHA UTALIKWEPA NA HATA KWA WENYE PRESHA ,PRESHA ZAO ZITAPUNGUA
.
2) KWA NDUGU ZANGU WAPISHI @shishifood @chakula_tz @mr_kukutz@chef_aloyce @food_lovers_mad@foodlovers.tz @kfctanzania@samaki_samaki @kitimotoz@kitimoto_masters @ndafuspecial NA MAMA NTILIE WOTE MTUSAIDIE KATIKA HILI. PIKIENI CHUMVI KWENYE CHAKULA TU ,MSIWAWEKEE WATEJA WENU CHUMVI YA NYONGEZA,MSIWAWEKEE KALE KACHUPA KA CHUMVI YA MEZANI.MKIFANYA HIVI MTAKUA MMEPUNGUZA KWA KIASI KIKUBWA MATATIZO YA PRESHA NA VIFO VYA GHAFLA..NYIE NI WADAU MUHIMU SANA
..
SHARE HII MAKALA PLZ

No comments:

Powered by Blogger.