Header Ads

NAMNA YA KUJILINDA NA KASWENDE



1) Acha kufanya mapenzi kabisa

2) Kua na mpenzi mmoja na muaminifu

3) Tumia kondomu mara zote(kondomu za kiume,za kike na za mdomo)

4) Jenga mazingira ya kucheki afya yako(na magonjwa ya zinaa) mara kwa mara na upata ushauri

5) Usizime taa mkutanapo mara ya kwanza ili mkaguane vizuri

6) Kwa wajawazito na wenye HIV pimeni kaswende ili kujua hali yako

7) Acha ukahaba na ushoga

8) Acha matumizi ya madawa ya kulevya na punguza matumizi ya vilevi utumiavyo

No comments:

Powered by Blogger.