Header Ads

JE UNAYAFAHAMU MADHARA MAKUU YANAYOWASUMBUA AKINA MAMA NA WANAWAKE WENGI?

Matokeo ya picha ya maradhi kwa mwanamke
1.UTI
2.MENOPAUSE
3.HORMONAL IMBALANCE
4.FIBROIDS
1.UTI
Dalili:
-Kukaa na mkojo
-kukojoa damu
-Anasikia kutapika Na kutojoskia vizuri
-Maumivu wakati wa Haja ndogo
2.MENOPAUSE(kukomaa kwa hedhi)
Huwatokea wanawake kuanzia miaka 40-50
Dalili;
-Ngozi kuzeeka
-kupoteza kumbukumbu
-kuwa na msongo wa mawazo
-kuwa na hasira nyingi
3.HORMONAL IMBALANCE
Sababu
1.Inasababisha kuwa sumu nyingi(msongo wa mawazo)
2.Vyakula tunavyokula
3.Menopause(Kukoma kwa hedhi)
4.Uzito mkubwa
5.Kutofanya mazoezi
4.FIBROIDS(uvimbe)
Sababu:
1.Ulaji mbovu wa vyakula
2.Historia ya kifamilia
3.Uzito kuwa mkubwa
4.Uwepo wa sumu nyingi mwilini
Dalili:
1.Kubleed sana
2.Maumivu wakati wa tendo la ndoa
3.Maumivu mgongoni Na miguuni
4.Kukojoa mara kwa mara
5.Kukosa choo
SULUHISHO KWA TIBA LISHE
Tuna bidhaa za asili ambayo hudhibiti uvimbe,virus Na bacteria.Huondoa taka (sumu) zilizopo mwilini.Husaidia balance hormones ndani ya mwili.Hupunguz maumivu wAkati ya hedhi.Hupunguza msongo wa mawazo.
Hizi lishe zinafanya kazi na kuliondoa ukitumia mara kwa mara.
Kwa maelekezo zaidi juu ya jinsi unaweza kupata bidhaa hizo maoni namba yako au simu 0765203999

No comments:

Powered by Blogger.