Header Ads

JINSI YA KUONGEZA WINGI WA DAMU

JINSI YA KUONGEZA WINGI WA DAMU


Upungufu wa damu ni ile hali ya kiasi cha damu mwilini kuwa kidogo kuliko kinachotakiwa na mwili kulingana na hali ya mtu na jinsia yake. Hupimwa maabara na hospitali kwa kuangalia kiasi cha Haemoglobin,(HB)
Katika hali ya kawaida mwanaume hutakiwa kuwa na damu kati ya 13.5 hadi 17.5 (g/dl)
na wanawake hutakiwa kuwa na damu kati ya 12.0 hadi 15.5.
na kwa mjamzito kikawaida kiasi cha damu inataiwa kua kati ya 11-12g/dl
Tofauti hiyo husadikiwa kwamba huletwa na hedhi ambayo wanawake hupata kila mwezi na hivyo kuwa na damu pungufu kidogo ukilinganisha na ya wanaume.
Zipo sababu mbalimbali zinazosababisha upungufu wa damu ila kwa leo nitazungumzia jinsi ya kupandisha kiwango cha damu kwa haraka:
1.JUISI
sio juisi zote huongeza kiwango cha damu unashauriwa kunywa juice ya nyanya, walau kila siku glasi mbili lakini pia juisi za rozella,tikiti maji na karoti.
aina hizi za juisi huongeza kiwango cha damu kuliko hata vidonge.
2.VYAKULA: kula vyakula vyenye kiwango kikubwa cha madini ya chuma,vyakula hivyo ni kama nyama,maini,maharage,viazi vitamu,
3.,MATUNDA
Kama ilivyo kwa vyakula na juisi sio matunda yote yanaongeza damu c tunakushauri utumie matunda yafutayo katika kuongeza damu
a>maembe, machungwa,, strawberries, cabeji zabibu, , nyanya pamoja na spinach
#NOTE:
tunakushauri pindi unapokua na upungufu wa damu usitumie vyakula vyenye iron blocker: vyakula au vinywaji hivi huzuia madini ya chuma yasiweze kufyonzwa mwilini:na vyakula hivyo ni pamoja na:
kahawa,maziwa,siagi,chokolate

3 comments:

  1. Kutana na mtaalamu wa mitishamba anatibu uzazi ...uvumba... kukuza shape hips na kukuza uume dawa zake ni za asili na mitishamba ..kupata watoto pacha ... mpigie namba 0744903557 tanga

    ReplyDelete
  2. Asante kwa SoMo zuri! Mimi ni mjamzito na ninapenda kutumia maziwa Sana Nina wingi wa damu 10.5 kwa sasa ila mwanzoni ilikua 11.5 je maziwa Yana athiri wingi wa damu?

    ReplyDelete
  3. Hivi naruhusiwa kunywa maziwa fresh?

    ReplyDelete

Powered by Blogger.