Kuwa makini na chakula kilichohifadhiwa kwenye plastiki
Je huwa unapendelea kula vitu vilivyokaa muda mrefu kwenye joto kali?
Ni vizuri kama chakula, maji au soda utakayokunywa isiwe imehifadhiwa kwenye chombo cha plastiki. Vyombo vya plastiki vina kemikali ambazo huyeyuka kwenye joto kali na kuchanganyika kwenye chakula, mfano BPA (Bisphenol A) . Hizi kemikali ni hatari sana kwa afya yako. Niv izuri kula vyakula hivi kama vimehifadhiwa kwenye mazingira mazuri, hasa kwenye halijoto ya chini ili kemikali zisichanganyike na chakula.
No comments: